| Katibu Mwenezi wa CCM, mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akizungumza na
washiriki wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni,
katika ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, mwishoni mwa semina hiyo,
Des 18, 2013. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya
Kinondoni, Charles Mgonja, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni Salum
Madenge na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa. Kushoto
ni Katibu wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Cholage. (Picha na
Bashir Nkoromo). |
No comments:
Post a Comment