Tuesday, February 11, 2014

HAFLA YA KUMKARIBISHA OFISINI DIWANI MPYA WA KATA YA SOMBETINI- ARUSHA ALI BANANGA

Diwani Mteule Mhe. Ally Bananga akisaini kitabu cha wageni ofisini Manispaa ya Jiji la Arusha, na Mhe. Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi (pembeni kushoto) kwa nyuma ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema.
Afisa Utumishi Manispaa ya Jiji la Arusha akitoa somo kwa Diwani mteule wa Sombetini Mh Ally Bananga (hayupo pichani).
Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akimsindikiza Mhe. Ally Bananga (Diwani Mteule Kata ya Sombetini)
Mbunge viti Maalum Kilimanjaro, Mh Grace Kiwelo, akisaini kitabu cha wageni, nae alimsindikiza Diwani Mteule Mh.Ally Bananga

No comments:

Post a Comment