| Teknolojia mpya ya upasuaji kwa njia ya Darubini katika Hospitali ya KCMC, Teknolojia hiyo inadaiwa kuokoa muda na gharama za upasuaji pamoja na kupunguza vifo. |
| Madaktari KCMC wakimfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia Teknolojia mpya Darubini. |
| Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi. |
| Zoezi linaendelea ukimya tafadhali!!! kwa mbali ni mtaalamu wa upasuaji wa Darubini (mzungu) kutoka Uingereza, Dkt. Liam Horgan. |
| Dkt. Kondo Chilonga akiongoza madaktari wenzake kumfanyia mgonjwa upasuaji kwa kutumia teknolojia mpya ya Darubini ambayo inaruhusu upasuaji kufanyika bila ya kuchana ngozi. |
| Madaktari wa Upasuaji kutoka kulia, Fadhili Athumani, Zephania Renatus na Bahati Mustapha katika chumba cha Upasuaji KCMC. |
No comments:
Post a Comment