| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia
katika shamba la Mage Kolimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha
Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika
kumsaidia mkulima huyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya
CCM, inayofanyika Kitaifa Jumapili hii mjini Mbeya. |
No comments:
Post a Comment