Katibu wa CCM mkoani Kilimanjaro, Steven Kazidi (kulia) akiwa na mgombea udiwani katika kata ya Kiboriloni, Manispaa ya Moshi,
kwa tiketi ya CCM, Willy Aidano. Kampeni hizo ziliandamana na
maadhimisho ya mwaka huu ya miaka 37 ya CCM ambyo kimkoa yalifanyikia
katika kata hiyo.
 |
| Wazee
wa kimaasai wakimsikiliza Katibu wa Uchumi wa CCM, mkoa wa Kilimanjaro,
Paul Materu (hayupo pichani)akizungumza katika maadhimisho ya miaka 37
ya CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya
Mwanga mkoani Kilimanjaro. |
 |
| Wanachama
wa CCM katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM kiwilaya yaliyofanyika
katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. |
 |
| Katibu
wa Uchumi wa CCM Kilimanjaro, Paul Materu akisalimiana na Waziri wa
Maji, Prof. Jumanne Maghembe katika maadhimisho ya miaka 37 ya CCM
kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya Mwanga
mkoani Kilimanjaro. |
 |
| Kundi la kudance la kizazi kipya (Wanafunzi wa shule ya msingi) wakitumbuiza katika maadhimisho hayo jana. |
 |
| Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM wilaya ya Mwanga, Mathewa Msoffekatika maadhimisho ya miaka 37 ya
CCM kiwilaya yaliyofanyika katika shule ya msingi Kirya, wilaya ya
Mwanga mkoani Kilimanjaro. |
|
No comments:
Post a Comment