| Mpiga gitaa la solo naye akiwapagawisha wapenzi wa bendi hiyo waliofulika ukumbini hapo |
| Wanamuziki hao wakionyesha umahili wao wa kucheza ngwasuma |
| Mpiga ngoma naye akionyesha manjonjo yake |
| Wacheza shoo machachali hawakuwa nyuma kuonyesha manjonjo yao |
| RAIS wa bendi hiyo Nyoshi El Sadati ak Sauti ya simba, akiwatambulisha wanamuziki wa bendi hiyo kwa mashabiki waliojazana katika ukumbi wa kilimani |
| Nyoshi Kulia akiwaongoza wanamuziki wake kuimba |
| Wakilishambulia jukwaa |
| Nyoshi akiteta na mdhamini wao Profesa Maji Marefu na Kulia ni Mbunge wa Kahama Mjini James Lembeli, akiwatambulisha wabunge wenzake waliohushulia onyesho hilo |
| Wabunge waliohudhulia onyesho hilo |
| Mgeni rasmi wa onyesho hilo Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Juma Nkhamia, akozungumza na mashabiki waliohudhuria |
| Mbunge Sugu naye hakuwa nyuma anazungumza na mashabiki kulia ni Mbunge Wenje |
| Mashabiki wakijimwaga kulicheza Ngwasuma |
| Wacheza Shoo wa bendi hiyo wenye kupepelusha viuno kama feni wakiwajibika jukwaani |
No comments:
Post a Comment