![]() |
| Ilikuwa ni balaa |
![]() |
| Napambana...mwanariadha Marcel Ntandu akimalizia mbio za kilomita 8 za kupambana na ugonjwa wa kisukari, Kibo Race Diabetes awareness zilizofanyika leo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Mchuano mkali |
![]() |
| Mshindi wa kwanza wanaume, Marcel Ntandu kutoka TPC |
![]() |
| Mshindi wa pili wanaume, Matayo Milau |
![]() |
| Mshindi wa pili upande wa wanawake kilomita 8, Rose Kasusura |
![]() |
| ACB tulifika |
![]() |
| ACB na sisi tupo |
![]() |
| Maofisa wa ACB wakipokea Vyeti vya ushiriki katika mbio za kampeni ya kupinga na elimu dhidi ya ugonjwa wa kisukari |
![]() |
| Kocha wa Kibo akito maneno ya shukrani |
![]() |
| ACB tumetokelezea...tunapinga kisukari |
![]() |
| Meneja Msaidizi wa Benki ya Akiba Commercial ACB tawi la Moshi, Damari Kanyama (wa kwanza kushgoto), katika picha ya Pamoja na baadhi ya maofisa wakuu wa benki hiyo. |













No comments:
Post a Comment