Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS MUHIDIN GURUMO AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba gwiji la muziki nchini, Mzee Muhidin Gurumo, amefariki dunia.

Mwalimu Gurumo amefariki dunia leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. tutaendelea kuwaletea Habari zaidi punde zitakapotufikia. KIJIWE CHETU BLOG inawapa pole jamii yua muziki hapa nchini, ndugu jamaa na marafiki.

"Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi amin"

No comments:

Post a Comment