| Mgeni rasmi katika pambano hilo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa Yanga mara baada ya kuwasili uwanjani hapo. |
| Baadhi ya viongozi wa Yanga walimkumbuka Gama wakati huo akiwa mkuu wa wilaya ya Ilala ambako katika kipindi chake Yanga ilichukua Ubingwa. |
| Mashabiki wa soka wakiwa wamefurika katika uwanja wa Ushirika. |
| Baadhi ya viongozi wa Yanga na Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro wakiteta jambo. |
| Mama Yanga pia alikuwepo sanjari na mashabiki wengine wa Yanga. |
| Mashabiki pekee wa timu ya Panone pia walikuwa uwanjani hapo. |
| Panone fc wakipasha misuli moto. |
| Yanga wakipasha misuli moto. |
No comments:
Post a Comment