Eid Mubarrak!, Mmiliki wa mtandao wa Kijiwe chetu Blog, ndugu Fadhili Athumani, anapenda kuwatakia waislamu wote heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri.
Tunaungana nanyi kati siku hii muhimu katika kalenda ya Dini ya Kiislamu...Eid El Fitri....Eid Mubarrak!!!

No comments:
Post a Comment