| Kocha Isaac Guerrero wa FC Barcelona akitoa mafunzo kwa makocha wa ligi
kuu na ligi daraja la kwanza jana kwenye uwanja wa Karume jijini Dare
salaam ikiwa ni sehemu ya mafuzo hayo ya siku mbili yaliyoandaliwa na
Castle Lager kupitia ushirikiano wake na FC Barcelona |
No comments:
Post a Comment