![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Nigeria Goodluck Jonathan . |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na Waziri mkuu wa Mauritius, Ramgoolam. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Uganda Yoweri Mseveni . |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiteta jambo na Seneta Christopher Coons ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Marekani anayesimamia maswala ya Afrika. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na Balozi Suzan Rice ,mshauli wa Rais Obama maswala ya Usalama.. |
![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiwa na rais wa Jamuhuri ya Demokrasia ya Congo,Joseph Kabila. |







No comments:
Post a Comment