Sunday, September 28, 2014

MADABIDA AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA ILALA

  Mwenyekiti  wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam  Ramadhan Madabida akizungumza na viongozi wa chama hicho Wilaya ya Ilala kabla ya kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi wa Wilaya ya Ilala
 .Mwenyekiti  wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam  Ramadhan Madabida akivishwa skafu kabla ya kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
 Mwenyekiti  wa ccm mkoa wa Dar Es Salaam  Ramadhan Madabida akiingia Ukumbini kufungua mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.
  Baadhi ya wajumbe wa mkutano wa jumuiya ya wazazi ya ccm wilaya ya ilala.

No comments:

Post a Comment