Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Lukwambe hadi sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa.
 Mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Godfrey Mgimwa kulia akikabidhi mchango wake wa Tsh 250,000 kwa ajili ya kusaidia kazi ndogo ndogo za ujenzi wa zanahati ya kijiji cha Mangalali |
|
No comments:
Post a Comment