SIDE BOY HATUNAE TENA

Posted in
No comments
Monday, September 29, 2014 By danielmjema.blogspot.com

Msanii wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na nyimbo kama 'Kua uone', 'Usimdharau usiyemjua', Kwa mujibu wa mdogo wake Ally Khamis, anasema Kaka yao marehemu Said Salum Hemedy "Side Boy" amefariki dunia leo, mkoani Lindi kwenye hospitali ya Nyangao ambapo alilazwa akisumbuliwa na TB ya mifupa. 

ANGALIA VIDEO YA WIMBO WAKE WA HUJAFA HUJAUMBIKA ALIOMSHIRIKISHA BEST NASO......


Lindi.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .