CHID BENZ ARUDISHWA RUMANDE HADI NOVEMBA 11
Posted in
Sheria
No comments
Tuesday, October 28, 2014
By
danielmjema.blogspot.com
Msanii Chid Benz mchana huu amesimamishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka matatu ambayo ni
1. Kukutwa na madawa na vifaa vya kutayarishaji uvutaji wa madawa
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya
2. Kusafirisha madawa ya kulevya
3. Utumiaji wa madawa ya kulevya
Chidi Benz amerudishwa rumande hadi Novemba 11ambapo ataletwa tena kizimbani.
Dhamana itakuwa wazi kwa masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoeleweka na pesa taslimu milioni 1.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :