WAFANYAKAZI WALIFANIKISHA WIZI STANBIC-KOVA
Watu wasiofahamika wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi jana walivamia Benki ya Stanbic katika tawi la Mayfair jijini Dar es Salaam nchini Tanzania na kupora kiasi cha fedha ambacho kiasi chake bado hakijafahamika.
Kamanda Kova pia amesema wizi huo unaonekana ni mpango uliofanywa na baadhi ya watumishi wa banki hiyo kutokana na wezi hao kufanya tukio hilo na kuchukua fedha kwa urahisi Zaidi.
http://eatv.tv/news/current-affairs/wafanyakazi-walifanikisha-wizi-wa-stanbic-kova
No comments:
Post a Comment