MAFURIKO YAATHIRI DARAJA LA KIKULETWA WILAYANI HAI
Posted in
Ajali
No comments
Friday, May 8, 2015
By
danielmjema.blogspot.com
![]() |
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mafuriko yaliyong'oa miti na kuharibu kingo za daraja la Kikuletwa wilayani Hai. |
%2B(800x533).jpg)
Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa.
%2B(800x533).jpg)
Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo.
%2B(800x533).jpg)
Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo wataweza kuondoa miti hiyo.
.jpg)
Mawe pia katika barabara inayounganishwa na daraja hilo yamezolewa na maji.
.jpg)
Mwenyekiti wa Kijiji cha Chmka Jacob Idd akipita katika daraja hilo kujionea athari za mafuriko hayo.
Kwa hisani ya Michuzi Blog
![]() |
Mti mkubwa ulizolewa na maji na kisha kugota katika daraja la Kikuletwa. |
![]() |
Baadhi ya wakazi wa Kitongoji cha Kikuletwa wakivuka katika daraja hilo. |
![]() |
Baadhi ya vijana wakiangalia namna ambayo wataweza kuondoa miti hiyo. |
![]() |
Mawe pia katika barabara inayounganishwa na daraja hilo yamezolewa na maji. |
![]() |
Mwenyekiti wa Kijiji cha Chmka Jacob Idd akipita katika daraja hilo kujionea athari za mafuriko hayo. Kwa hisani ya Michuzi Blog |
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :