TBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYAO NCHINI

No comments
Wednesday, August 5, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Meneja Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Emma Oriyo  (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai 
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kulia ni  Meneja wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo 

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .