Moshi - Dar Waste Walkers / Matembezi Moshi - Dar

No comments
Tuesday, September 8, 2015 By danielmjema.blogspot.com

Kiongozi wa msafara wa wanamazingira waliotembea kwa miguu wakiokota taka za plastiki pembezoni mwa barabara kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro na kuja jijini Dar es Salaam, Felix Garbe (kushoto) akimkabidhi ufagio Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ubungo Kibo Dar es Salaam, Sophia Yusuf ikiwa ni ishara ya kuhamasisha wakazi wa Dar es salaam kuchukua jukumu la kutunza mazingira. Tukio hilo lilifanyika baada ya wanamazingira hao kuwasili jijini Dar baada ya safari iliyowachukua muda wa wiki tano kumalizika. (Picha: Hisani ya Nipe Fagio)
Felix Garbe, a Team Leader of the 18 environmental activists from Tanzania, Europe and the US who were on a five week long walk from Moshi to Dar es salaam collecting waste and educating communities about plastic pollution passed on the broom to the Ubungo Kibo local government chairperson Sophia Yusuf yesterday as a symbolic gesture to create awareness about the effects of plastic pollution to nature. (Photo: Courtesy of Nipe Fagio)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .