DIAMOND na Mafikizolo wadondosha Video mpyaaaaaaa!! Ni video ambayo single yake ilirekodiwa toka June 2014
Johannesburg South Afrika kwenye studio ya Oskido ambaye ni mmoja wa
malegend wa muziki Afrika Kusini, ukishamaliza kuitazama hii video sio
mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua
Watanzania wameipokeaje.
ITAZAME HAPA:

No comments:
Post a Comment