Saturday, April 23, 2016

EXLCLUSIVE: VIDEO YA 'NDI NDI NDI' HII HAPA KUWA WA KWANZA KUITAZAMA


Hatimaye Video ya wimbo wa  "Ndi Ndi Ndi” uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu imetua mezani kwetu. Kuwa wa kwanza kuutazama wimbo huu kutoka Malkia wa Bongo Flava ambaye amejizolea sifa kedekede katika ukanda wa Afrika mashahiriki na kati, muite Judith Wambura a.k.a Lady Jaydee 'Komandoo’.


No comments:

Post a Comment