Wednesday, April 27, 2016

VIDEO: SAUTI SOL ft MI CASA-TULALE FOFOFO (Official Vedo)

BAADA ya kutikisa na wimbo wao mpya 'Unconditionally Bae' waliomshirikisha Sta wa Bongo Flava, Ali Kiba, kundi la muziki kutoka Kenya, Sauti Sol wamedondosha Kolabo nyingine matata waliofanya na Mi casa kutoka South Africa. wimbo huo unaitwa 'Tulale Fofofo

Nimekuwekea video hiyo hapo chini waweza kuitizama

No comments:

Post a Comment