Saturday, May 21, 2016

G Nako ft Chini Bees ft Nikii wa pili- 'Arosto'

Mkali kutoka kampuni ya Weusi G Nako  ameachia video mpya ya hit Single yake ya ArostoG Nako ameachia video hiyo aliyowashirikisha Chin Bees na member mwenzake kutoka kampuni ya Weusi Nikki wa II.
Video hii ya G Nako amefanya mara mbili baada ya video ya kwanza kufanya na Nisher na hii ya pili iliyoachiwa leo imefanywa na director Hanscana, bonyeza HAPA kuona video ya Arosto iliyofanywa na Nisher. Unaweza kuenjoy hapa kwa kutazama dakika nne za video yenyewe iliyoachiwa jana, May 20 2016 .

No comments:

Post a Comment