Thursday, May 19, 2016

Jux ameamua kutoka na muonekano huu

Kama wewe utakuwa mpenzi wa kufuatilia style za wasanii kuanzia mavazi mpaka Life style zao basi hii isikupite mtu wangu May 19 2016 msanii wa Bongo fleva Juma Jux amezichukua headline kutokana na muonekano wake mpya wa nywele.


No comments:

Post a Comment