Monday, May 23, 2016

Ne-Yo na Diamond wawaonjesha mashabiki wimbo wao mpya


Tamasha la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi hii mkoni Mwanza lilijaa surprise kwani msanii kutoka Marekani, Ne-Yo na Diamond waliwaonjesha mashabiki wao kolabo yao ambayo inarajia kutoka hivi karibuni.

Kabla ya Ne-Yo kumpandisha Diamond jukwanii, alianza kumsifia hali ambayo iliyonyesha ni jinsi gani anamkubali msanii huyo.

No comments:

Post a Comment