Monday, May 16, 2016

New Video: Nyashinski – Now You Know


Rapper wa kundi la Kenya lililotamba sana miaka ya nyuma, Kleptomaniacs, Nyashinski alirejea hivi karibuni na wimbo Letigo akiwa na Nameless na sasa amekuja tena na wimbo anaoelezea ukimya wake wa miaka kibao, Now You Know. Mtazame hapo chini.

Tizama video hapa:

No comments:

Post a Comment