Kimwana anayetikisa kwa vituko katika medani ya muziki ya Bongo flava, Shilole a.k.a Shishi Baby kwa kushirikiana na Barnaba wanatualika kutazama video yao mpya‘Say My Name’ na ukishaitazama uiache comment yako hapa chini Shilole na Barnabara watapita baada kuzisoma.
No comments:
Post a Comment