Tanzania imetangaza muswada mpya wa sheria ya wanaowapa watoto mimba

No comments
Tuesday, June 28, 2016 By danielmjema.blogspot.com

Bunge la 11, nchini Tanzania, litafanya mapitio ya marekebisho ya muswada wa sheria ya mtoto ambayo imeelekeza kuwa mtu atakayempa mimba mtoto ambaye kisheria anafahamika ni yule mwenye umri wa chini ya miaka 18 basi atahukumiwa kifungo cha jela miaka 30.
Sheria ya kanuni za adhabu inawagusa hata ambao hawapo shuleni ambao wapo chini ya miaka 18, ukifanya tendo la kujamiiana na mtoto wa chini ya miaka 18 hata kama mlikubaliana utahesabia umebaka‘ –George Masaju
Unaweza kuendelea kumsikiliza kwenye hii video hapa chini….

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .