Wimbo mpya wa msanii Lady JayDee, unaitwa “Sawa na Wao”. Staa huyo ambaye hivi karibuni alitangaza ujio wake mpya, alioupa jina la Naamka tena kwa kutoa wimbo wa 'Ndi Ndi Ndi' amesema wazo la wimbo ‘Sawa na Wao’ ambao ameuachia hivi karibuni alilipata kutokana na maisha ya watu wake wa karibu ambao amekuwa akiishi nao katika maisha ya kila siku.

No comments:
Post a Comment