UHISPANIA WATINGA FAINALI

Posted in
No comments
Thursday, June 28, 2012 By danielmjema.blogspot.com


andres iniesta (aliyevua shati)

Vijana wa vicente del Bosque walipigana kufa na kupona na kutinga fainali ya euro 2012 tayari kuiteteta ubingwa wao waliouchukua mwaka 2008.

ilikuwa ni baaada ya kubanwa na vijana machachari wa ureno ambao waliwalazimisha kucheza soka la nguvu na kasi wakiongozwa na CR7.

Baada ya dakika 120 kumalizika zilipigwa matuta na uhispania wakaibuka washindi kwa penalti 4-2 kutokana na kazi nzuri ya king IKE aliyepangua mashuti 2 ya ureno.

The fabulous alifunga penalti ya mwisho na kuivusha timu ya king bosque hadi fainali na kuzima ndoto ya ureno kwa mara nyingine tena.



Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .