BHAAAAASI: SERENGETI FIESTA BONANZA YATINGISHA JIJI LA MAHABA TANGA - WEMA SEPETU NA WENZIE WA BONGO MOVIE WATISHA
Posted in
No comments
Monday, August 27, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mkuu
wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego pichani kati mwenye kipaza sauti
akisoma namba za washindi waliojinyakulia piki piki mbili zilizotolewa
na kampuni ya Push Mobile, wa tatu kulia ni Meneja Masoko wa kampuni ya
Push Mobile,Rugambo Rodney na mwisho kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga,na nyuma kabisa ni
Mkurugenzi wa utafiti Clouds Media Group, Ruge Mutahaba pamoja na
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti,Ephrahim Mafuru
wakishuhudia tukio hilo usiku huu kwenye uwanja wa Mkwakwani ambako
tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linafanyika.
Mkuu
wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya Clouds Media Group, Joseph Kusaga usiku huu mara baada
ya kuwataja washindi waliojishindia piki piki mara baada ya kuchezeshwa
bahati nasibu,wakati tamasha la Serengeti Fiesta 2012
likiendelea,pichani kati ni Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group,
Simon Simalenga.
![]() |
Steve Nyerere & Shilole kazi ipo....... |
![]() |
Shilole & JB |
![]() |
FA & Linah ni Yalait au kunamengine??? LOL! |
![]() |
Wema,Aunt & Shilole....Mmmmmmh! Hapa sitii neno |
![]() |
Bhaaaasss! Mchomvu akitema cheche..... |
![]() |
Dj-Zero Babyyyyyyyyyyyyyyy |
![]() |
Rachael..... |
![]() |
Rais wa Masharobaro Bob Junior akishambulia jukwaa.... |
![]() |
CMB Prezzo 4rom Kenya Bhaaasss! |
![]() |
Mwana FA ndani..... |
![]() |
Shetta wa Darstamina kwa steji akidanganywadanganywa... Hahahaha! |

Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Nuru akitumbuiza jukwaani usiku huu na
shabiki wake mbele ya wakazi wa jiji la Tanga wanaondelea kutiririka
ndani ya uwanja wa Mkwakwani ambako tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Msanii kutoka THT,ajae kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva aitwaye Rachel akiimba jukwaani usiku huu.
Msanii kutoka THT,ajae kwa kasi katika anga ya muziki wa bongofleva aitwaye Rachel akiimba jukwaani usiku huu.
Pichani
shoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Ephrahim Mafuru, Mkuu wa Vipindi Clouds
FM,Sebastian Maganga sambamba na Meneja wa bia ya Serengeti,Allan
Chonjo wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya uwanja wa Mkwakwani
wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kurindima.
Dj Zero kutoka Clouds FM akikamua.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Tanga wakifuatilia kwa makini makamuzi ya Fiesta usiku huu.
Moja ya zao la Supa Nyota kutoka Mkoani Mbeya akiimba jukwaani.
Mambo ya Fiesta Serengeti 2012 ndani ya Jiji La Tanga.
Show Love.
Mkuu
wa vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga akitoa maelezo machache kwa
Mtangazaji Millard Ayo wakati wakirusha matangazo live ndani ya Tanga.
The Dream Team ya Clouds Fm.
Mtangazaji Millard Ayo akifanya mahojiano na Sam Baruti.
Mtangazaji Millard Ayo akiongea na wakazi wa Tanga.
Mwanadada Loveness Love akiongea machache na wakazi wa Tanga.
...wakazi wa Tanga walijishindia zawadi mbali mbali ikiwemo t-shirt na tiketi za bure.
Kwenye moja na mbili toka ndani ya viwanja vya Tangamano.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :