MB DOGG AFANYA SHOOTING YA VIDEO YAKE MPYA "THE ONLY ONE"

Posted in
No comments
Sunday, September 30, 2012 By danielmjema.blogspot.com

 
 Hii ndiyo crew nzima ambayo imehusika katika kusimamia video ya msanii anayejulikana kwa jina la MB Dogg ambayo video hiyo inakwenda kwa jina la "The Only One" katika upande wa kufanya shooting .
      MB Dogg akiimba kwa hisia kali kabisa kwa kifupi naweza kusema kwamba msanii huyu kiukweli alikuwa kimya katika game la muziki mara watu wakawa  dzain wanasema kwamba eti jamaa   siku hizi anatengeneza vinyago lakini yeye mwenyewe amefunguka na kusema kwamba hayo ni maneno ya wakosaji kwani yeye alikuwa anafanya biashara zake binafsi na kwasasa  msanii huyu amekuja na ujio mwingine katika game la muziki hapa Bongo Land pia anatarajia soon kutambulisha hii video yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la "The Only One"Hayo ndiyo maelezo ya msaniii anayeimba zile style za RnB huyu si mwingine ni MB Dogg.
                                                                         MB Dogg 1


  Hapo MB Dogg akifanya shooting huku akimuimba Queen video ambaye amehusika katika Video hiyo mpya ya "The Only One" leo katika hotel moja inayojulikana kwa jina la Villa.
                                                                       MB Dogg




 Mb Dogg aki show love na ABdul ambaye amehusika katika upande  wa production  lakini katika upande wa production anajulikana kwa jna la Camera man na production yake inakwenda kwa jina la Kagua Films ndiyo imehusika katika upande wa kufanya shooting nyimbo mpya ya MB Dogg inayokwenda kwa jina la "The One Only"

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .