THE BIG BOSS "RICK ROSS" ATUA NCHINI TAYARI KWA BHAAAAAAAAAS NDANI YA LEADERS LEO!
Posted in
No comments
Saturday, October 6, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Meneja
wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti
Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka
nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku wa kuamkia leo ndani ya
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere,akiwa na baadhi ya
wanamuziki wenzake (pichani nyuma), kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time
Promotions Ltd,Balozi Kindamba ambao ndio waratibu wa tamasha la
Serengeti Fiesta 2012 litakalofanyika leo katika viwanja vya Leaders Dar es salaam.(Picha zote na Shaffih dauda)
Rick Ross akitoa salamu ya salut kwa washabiki wake waliojitokeza usiku huu (hawapo pichani) kumlaki
Operesheni
Meneja wa Prime Time Promotions,Balozi Kindamba akiwaongoza wageni wake
kuelekea kwenye gari tayari kuondoka kuolekea kwenye hoteli
waliopangiwa kufikia usiku huu,Shoto ni Rick Ross na akiwa na baadhi
wanamuziki wenzake aliombatana nao .
Rick Ross akiingia ndani ya mchuma.
Rick Ross akiondoka na mchuma wake kuelekea hotelini usiku huu.
Mmoja
wa mashabiki wa Rick Ross aliyezua tafrani kiaina akijifananisha na
Rick Ross akizungumza na na baadhi ya watu waliojitokeza kumlaki The Big
Boss mwenyewe, Rick Ross.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :