MOROGORO NI BHAAAAAAAAAAAAS!
Posted in
No comments
Monday, September 17, 2012
By
danielmjema.blogspot.com

Pichani
kulai ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera akisoma mshindi wa
Piki piki zinazotolewa na kampuni ya Push Mobile katika mchakato mzima
wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,kati ni Meneja masoko wa kampuni ya
Push Mobile, Rodney Lugambwa pamoja na msanii wa kundi la Ze
Comedy,Mpoki akifuatilia kwa makini tukio hilo.

Bonge
la bwana a.k.a Dj Ben a.k.a JB akimtunza mapesa msanii wa kundi la Ze
Comedy Orijino,Mpoki,kulia kwake ni Ray Kigosi akiwahamasisha mashabiki
wapige mayowe na makofi

Msanii
nyota wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu akiwaonjesha washabiki wake
kipaji kingine mbadala ya uigizaji usiku huu kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta 2012

Pichani:kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga
akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni
mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la
Serengeti likiendelea kufanyika.

Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka

Dj Zero akifanya makamuzi yake.


Vijana wengi wenye vipaji,ambao kiukweli wameonesha vilivyo kwenye jukwaa la Fiesta 2012 usiku huu.


Ni burudani tu

Wakazi
wa Morogoro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa
Jamhuri,ambako ndiko tamasha la Serengeti Fiesta 2012.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :