Posted in
No comments
Wednesday, September 12, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
HIVI NDIVYO SIMBA WALIVYOYEYUSHA ICE CREAM ZA AZAM
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira, Mkongoro Mahanga akimkabidhi Ngao ya Hisani
nahodha wa Simba, Juma Kaseja baada ya kuifunga Azam FC 3-2 katika
mchezo wa fainali uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam
| Add caption |
Mshambuliaji
wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Azam FC, Aggrey Morris katika
mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam. Simba imeshinda 3-2. Mapato ya mchezo huo yataelekezwa katika
shughuli za kijamii Hospitali ya Temeke.
Mashabiki wa Simba
![]() |
| Akuffo akijaribu kuleta simanzi kwenye lango la Azam |
Heka heka katika lango la Azama FC
(Picha na http://francisdande.blogspot.com)
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako


0 MAOINI :