Muuaji Wa Mwangosi Afikishwa Mahakamani Iringa
Posted in
No comments
Wednesday, September 12, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
Askari
anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya
wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini
ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani
kujitahid kupata picha kwa ugumu.
Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi
mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka
ameeleza kuwa mtuhumiwa anaitwa Pacificus Cleophase Simon (23)
Kutoka
Francisgodwinblog
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :