BASATA MPO NA RAIS KIKWETE LIKIZO MWISHO LINI!? BASATA WASANII WATAENDELEA "KUTUVUA NGUO" MPAKA LI...
Posted in
No comments
Wednesday, October 10, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
katika siku hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kutia aibu kutoka kwa wasanii, watu ambao siku za nyuma nilitokea kuwaheshimu na niwe muwazi katika kipindi fulani ya maisha yangu nilitamani sana kuwa kama wao (kuwa msanii) ila kwa sasa.................!!!!!!!!!!!
katika tamasha la fiesta lililomalizika hivi karibuni matukio haya yamekuwa ni kawaida.....
![]() |
Diamond akivua nguo jukwaani....usani kazi |
Huwa najiuliza, hivi BASATA wapo na kama wapo wanafanya nini kuhusu picha na matukio haya yanayochafua nchi yetu? hivi nchi hii ina RAIS na kama yupo likizo yake itaisha lini maana nashangaaa kuona likizo hiyo ikiwandefu sio kawaida?!...vipi brother MWAKIFWAMBA upo? au bado unaomboleza kifo cha KANUMBA? je matukio haya JB na CLOUD 112 mumeyaona au mnajua tu kulumbana na NEY WA MITEGO?...na je, MWANA FA umemuachia nani ofisi maana haya matukio na wewe umeyashuhudia coz FIESTA umeshiriki kila mkoa hasa MOROGORO(aunt ezekiel) DODOMA (wema sepetu) na DAR ES SAALAM(Diamond na vijana wake jukwani)???????????

naomba kupata jibu kuhusu uchafu huu utaisha lini au ndio tutegemee kushuhuida mengi zaidi ya haya?????!!!!!!!
SERENGETI FIESTA(UCHAFU) 2012............BHAAAAAAAAAAAAAAAAS!!!
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :