VODACOM FOUNDATION YAENDESHA KAMBI YA MATIBABU MKURANGA.

Posted in
No comments
Thursday, October 18, 2012 By danielmjema.blogspot.com






Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani wakisubiria kupata huduma za matibabu katika kambi maalum iliyoandaliwa na Chama cha Madaktari Wanafunzi Tanzania, na kufadhiliwa na Vodacom Foundation. Matibabu hayo yalitolewa bure kwa wakazi wa wilaya hiyo.







Mmoja wa wakazi wa wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani akijiandikisha kupata huduma za Afya, katika kambi maalum ya utoaji wa huduma za afya iliyoandaliwa na Chama cha Wanafunzi madaktari na kufadhiliwa na Vodacom Foundation, Mamia ya wakazi wa wilaya hiyo walitibiwa na kupata ushauri wa afya bure

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .