HIVI NDIVYO MAZISHI YA SHARO MILIONEA YALIVYOKUWA MCHANA HUU

Posted in
No comments
Wednesday, November 28, 2012 By danielmjema.blogspot.com


Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini
Mama Yake Hussein Ramadhani-Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu

Nape Nnauye akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa
Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza 

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini
 
Mama mzani wa Marehemu Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono wakielekea kwenye mazishi mapema mchana wa leo,Muheza mkoani Tanga.

Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana wa leo kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele
Nape akizungumza na wananchi waliohudhuria msibani
 
sehemu ya umati wa waombolezaji katika msiba wa Sharo milionea
 
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa

Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza
Waombolezaji waliopoteza fahamu wakipatiwa huduma ya kwanza msibani hapo.

Miss Kinondoni namba 2, 2011, Husna Maulid akilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya Sharo Milionea leo.
 
 
 
 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
 
 

Nyota wa comedian nchini, Hussein Mkiety Sharomillionea alivyokuwa enzi za uhai wake.
REST IN PEACE SHAROMILIONEA(BORN 1985-DIED 2012)

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .