BONFACE WAMBURA ACHUKUA NAFASI YA ANGETILE OSIAH TFF
Posted in
No comments
Sunday, November 3, 2013
By
danielmjema.blogspot.com

Aidha aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah ameagizwa aende likizo ya malipo hadi atakapomaliza mkataba wake.
Kamati
ya Utendaji inaviomba vilabu, vyama vya wilaya, vyama vya mikoa, vyama
shiriki na wadau wote kumpa ushirikiano Boniface Wambura katika
utekelezaji wa majukumu yake.
Jamal Malinzi
Rais wa TFF
Dar es Salaam
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :