Taswira na Video Za Waheshimiwa Zitto Kabwe,Peter Msigwa,Joshua Nassari,Leticia Nyerere,Maryam Msabaha Walivyofunika Kwenye Uzinduzi Rasmi Wa Tawi La CHADEMA Washington DC
Posted in
No comments
Wednesday, May 30, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Mhe. Peter Msigwa akiandika masuali yaliokuwa yakiulizwa na baadhi ya wakireketwa
Mhe. Nassari Joshua (Dogo Janja) Akishanga mamia ya wana DMV waliofurika katika uzinduzi rasmi watawi la Chadema Washington Dc
Mhe. Leticia Nyerere (Picha ya kwanza kushoto)akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc
Mhe. Maryam Msabaha akiwa kwenye uzinduzi wa watawi la Chadema Washington Dc
Mwanachama wa chadema kutoka Boston Ma akiuliza masuali tafauti katika mpango mzima wa uzinduzi
rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye
ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Bld, Hysattsville, Maryland
Nchini Marekani.
Kamanda Doto akiuliza masuali tafauti katika mpango mzima wa uzinduzi
rasmi watawi la Chadema Washington Dc uliofanyika jana Mei 27, kwenye
ukumbi wa Mirage Hall uliopo University Bld, Hysattsville, Maryland
Nchini Marekani.
Mhe. Zitto Kabwe akitoa hutba kuelezea mpango mzima wa mambo yanavyoendelea nchini Tanzania
Uongozi
wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uzinduzi
rasmi watawi la Chadema Washington Dc kwenye meza ya juu wa kwanza
kushoto Libe Mwangombe, akifatiwa na Mhe. Peter Msigwa, Mwenyekiti wa
tawi Mhe. Kalley Pandukizi, Mhe. Zitto Kabwe, na Mhe. Nassari Joshua,
Dogo Janja, mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa Mirage Hall uliopo
University Of Bld, Hysattsville, Maryland Nchini Marekani.
Wana DMV wakisikiliza hutuba ya Mhe. Zitto Kabwe.
Baadhi ya wakereketwa wachukua kadi baada ya uzinduzi wa tawi la chadema Washington.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
0 MAOINI :