CHAMA CHA WAANDISHI MKOANI KILIMANJARO (MECKI)CHAUNDA TUME MAALUMU KWA AJILI YA MAREKEBISHO YA KATIBA YAKE.

Posted in
No comments
Sunday, June 10, 2012 By danielmjema.blogspot.com

Wanachama pamoja na viongozi wakiwa kwenye mkutano mkuu maalumu wa kuunda tume ya marekebisho ya katiba.

Mkurugenzi Mtendaji kutoka Union of Tanzania Press Cub(UTPC)Aboubakar Khasan akizungumza kwenye mkutano huo ambao nae alipata fursha ya kuhudhuria.

Meza kuu Katibu Msaidizi wa club ya waandishi wa habari Mkoani Kilimanjaro(katikati)Nakajumo james,Rodrick Makundi Mwenyekiti wa tatu kutoka kulia na wajumbe wengine wa kamati tendaji wakiwa kwenye mkutano huo maalumu wa kuunda tume ya marekebisho ya katiba.

Mratibu wa club ya waandishi wa habari Mkoani Kilimanajro Yusuph Mazimu,pamoja na wajumbe wengine ambao waliwalikwa kutoka vilabu vingine ikiwemo Mkoa wa Arusha na Tanga.
Wanachama ambao ni waandishi kwenye tasnia ya habari wakifuatilia Mkutano.
 Mwenyekiti rodrick Makundi akizungumza kwenye mkutano huo.

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .