Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
 |
Bilali akipokea taarifa ya mkoa ikulu ndogo mjini moshi |
Makamu wa Rais akishiriki kuotesha miti katika chemchem ya njoro juu, na kuotesha mti.
 |
Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, Leonidas Gama akiotesha mti |
 |
katika banda la umwagiliaji na mkurugenzi pro. Omary. |
n
 |
katika banda la halmashauri ya manispaa ya SIHA |
 |
Hili ndilo banda la TACRI...hizi ndio shughuli zetu |
 |
Makamu wa Rais akipata mbinu za Uhifadhi katika banda la TANAPA |
 |
BANDA LA SENSA...hivi ndivyo tulivyojianda kwa shughuli ya Sensa Mheshimiwa makamu wa Rais... |
Mgeni Rasmi Mheshimiwa Makamu wa Rais, Gharib Bilali, katika Uzinduzi wa wiki ya Mazingira
 |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akitoa salamu za mkoa |
 |
baadhi ya wananchi walioshiriki katika uzinduzi wa wiki ya mazingira katika viwanja vya Mashujaa |
 |
Waziri wa Mazingira ofisi ya Makamu wa Rais, Terezya Huvisa |
 |
burudani nayo ilichukua nafasi yake |
0 MAOINI :