MWANA FA & AY & ARTHUR NDANI YA BBA JANA

Posted in
No comments
Monday, June 18, 2012 By danielmjema.blogspot.com

Mshiriki Junia kutoka Namibia ametoka downville na sasa kapandisha upville
Jesica wa Namibia ametolewa kwenye shindano hilo la Big Brother.
Lee wa South Africa katolewa wakati Keagan amepelekwa Upville.
Ay na Fa waliperform single inaitwa Money.
.
.
Picha zote zimepigwa kutoka kwenye TV.
picha kwa msaada wa millardayo.com

Habari Zingine

0 MAOINI :

Fadhili Athumani



EastAfrica Swahili Blogger, Journalist at Mwanaspoti Kenya, Nairobi Kenya, Call: +254705246475, whatsapp:+255654724337, Email: fadhiliathumani85@gmail.com

Proudly Powered by EAMG .