PIGO KWA WAANDISHI WA HABARI
Posted in
No comments
Monday, June 18, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Marehem Willy Edward Ogunde
Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo leo na Jarida la Jambo Brand
Amefariki
dunia mjini Morogoro usiku wakuamkia jumapili , alipo
kwenda kuhudhuria Mkutano wa sensa ulioandaliwa na ofisi ya Taifa ya
Takwimu (NBS), mwili wa marehem umesafirishwa kuja Dar na kuhifandhiwa
katika hopitali ya taifa Muhimbili, wakisubiri taratibu nyingine
zikifwata.
Mwili wa marehem Willy Edward Oginde ukifikiswa katika hospitali ya taifa Muhimbili
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako



0 MAOINI :