Mzee Bob Makani Afariki Dunia!
Posted in
No comments
Sunday, June 10, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Habari zilizothibitishwa na uongozi wa CHADEMA ni kuwa,mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Mzee Bob Makani, amefariki dunia jioni ya tarehe 9 june 2012.
KIJIWE BLOG inaungana na familia ya mpambanaji huyu, wanaharakati wote, ndugu jamaa na marafiki
tunapenda kutoa pole kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa mheshimiwa MBOWE pamoja na timu nzima ya movement for change, M4C
"MUNGU AILAZE ROHO YA MZEE WETU MAHALI PEMA PEPONI AMENI!!"
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :