Posted in
By
danielmjema.blogspot.com
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akifungua maji kwenye bomba
mara baada ya kuzindua mradi wa kuvuna maji katika hospitali ya wilaya
ya Iringa, iliyopo Frelimo Kata ya Mwangata Iringa mjini, mradi huo
utasaidia zaidi ya wakazi 100.00 wamaeneo ya karibu na hospitali hiyo,
mradi huo umegarimu jumla ya shilingi milioni 50,000 za kitanzania na
umegharimiwa kwa ufadhili wa kampuni ya mbia ya Serengeti (SBL), kushoto
katika picha ni Malala Paulo Kamimu Mkurugenzi Manispaa ya Iringa |
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akifunguapazia wakati
akizindua mradi wa kuvuna maji katika hospitali ya wilaya
ya Iringa, iliyopo Frelimo Kata ya Mwangata Iringa mjini, kulia ni Teddy
Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL) |
 |
| Wakazi wa Iringa na wageni mbalimbali waliohudhuria katika uzinduzi huo |
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa
Kampuni ya bia ya Srengeti Teddy Mapunda katikati wakiwa katika picha
ya pamoja na viongozi na watumishi mbalimbali wa hospitali hiyo na
manispaa ya Iringa. |
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akimtwisha ndoo ya maji BAgusta
Mtemi Diwani wa Viti Maalum Manispaa ya Iringa mara baada ya kuzindua
mradi huo. |
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akizungumza katika uzinduzi
huo, kulia ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya
Serengeti na kushoto ni Mh. Amani Mwamwindi Meya wa Manispaa ya Iringa |
 |
| Mkuu
wa Wilaya ya Iringa Dr. Leticia Warioba akimsikiliza Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Mawasiliano Kampuni ya bia ya Serengetiwakati akisoma
risala yake |
 |
| Wadau
kutoka kampuni ya bia ya Sewrengeti kutoka kushoto ni Bw. Philip
Ghucha, David Shayo, Imani Lwinga na mdauGerson Malisa wa kampuni ya TKA
wakishuhudia tukio hilo. |
 |
| Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Teddy Mapunda
akimuonyesha Dr. Leticia Warioba Mkuu wa Wilaya ya Iringa jinsi matanki
ya maji yalivyojengewa katika eneo maalum kwa ajili ya uvunaji maji
katika mradi huo. |
0 MAOINI :