GOOD NEWS KWA TOTTENHAM, CHELSEA HII INAWAHUSU PIA
                      Posted in 
                      
                            No comments
                          
Wednesday, July 4, 2012
                      By 
                      danielmjema.blogspot.com
Andre Villas Boas aliyekua 
kocha wa Chelsea kabla ya kutimuliwa muda mfupi baadae baada ya timu 
kuvurunda ndio ametangazwa kuwa kocha mpya wa club ya Tottenham sasa 
hivi.
Villa Boas (34) aliwasili 
London jumatatu wiki hiikufanya mazungumzo na Tottenham ambapo baada ya 
kukubaliana, mzigo ukatangazwa.
Kocha huyu mdogo kiumri ameanza
 kufundisha club kama kocha akiwa na umri wa miaka 21 tu na sasa 
amechukua mkataba wa miaka mitatu kwenye club yake ya tano kuifundisha.
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako
 
 
 
 

 
 
 
0 MAOINI :