HUYU NDIO KOCHA MPYA YANGA AMBAE TAYARI AMESHATUA BONGO BADALA YA MAXIMO..
Posted in
No comments
Wednesday, July 4, 2012
By
danielmjema.blogspot.com
Kocha
mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewasili katika Uwanja wa Ndege
wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya
wapenzi wa klabu hiyo.
.
.
.
.
(Picha zote zimepigwa na bongostaz.blogspot.com)
Habari Zingine
Mjulishe Mwenzako

0 MAOINI :